Friday, January 25, 2019

Hi hapa ratiba ya Kombe la FA mzunguko wa mwanzo Zanzibar

ZANZIBAR FA CUP RATIBA YA MASHINDANO KOMBE CHAMA CHA MPIRA ZANZIBAR FA CUP -UNGUJA 2019 S/NO SIKU TAREHE TIMU ZINAZOSHINDANA KIWANJA MUDA 1 JUMAMOSI 2 Feb-19 BWELEO KILIMANI CITY MAUNGANI 10:00 2 MFENESINI KIJICHI MISUKA 10:00 3 DULLA BOYS MPAPA WHITE BIRD 10:00 4 MAHONDA KIDS KWEREKWE CITY WHITE BIRD 8:00 5 NEW KING NEGRO MISUKA 08:00 6 UJAMAA KIZIMKAZI MAUNGANI 08:00 7 WHITE BIRD SUPER TIGER BUNGI 08:00 8 CHARAWE MWEMBELADU BUNGI 10:00 9 GULIONI MCHANGANI UTD AMAAN 10:00 10 SEBLENI SHARP BOYS AMAAN 08:00 11 JUMAPILI 3 Feb-19 MCHANGANI STR KUNDEMBA MISUKA 10:00 12 RASKAZONE UHAMIAJI AMAAN 08:00 13 KIMBUNGA ZANTEX MAUNGANI 08:00 14 VILLA FC AFRICAN COAST MCHANGANI 10:00 15 POLISI BRIDGE TA/JANG`OMBE AMAAN 10:00 16 MUNDU KIJANJA MAUNGANI 10:00 17 IDUMU SHANGANI WHITE BIRD 08:00 18 NGOME MAUNGANI WHITE BIRD 10:00 19 BLACK MAMBA NEW BOYS BUNGI 08:00 20 WEMBE KITOPE BUNGI 10:00 NB: 1. KIKAO CHA MATAYARISHO YA MCHEZO (PRE MATCH MEETING) NI SIKU MOJA KABLA YA MECHI SAA NNE KAMILI OFISI YA ZFA TAIFA. 2. TIMU ZINATAKIWA KUFIKA KIWANJANI NA MIPIRA MIWILI INAYOFAA KUCHEZEA. NA IKABIDHIWE KWA KAMISHNA WA MCHEZO KABLA YA MCHEZO KUANZA. 3. KAMA ITATOKEA MECHI KUTOKA SARE BAADA YA DAKIKA 90 SHERIA YA PENALTI ITATUMIKA. “fair play”

No comments:

Post a Comment